Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

Nyumba Mbili Zinauzwa
Mahali: Kijitonyama Ushuani

Bei: Milioni 500 (Mazungumzo)

☑️Pamezungukwa Na Barabara Mbili.
☑️Ukubwa: Sqm450
☑️Sifa: Nyumba 1: Vyumba 3, Kimoja Ni Master Sebule, Dining, Library, Jiko Store & Choo
Nyumba 2: Limepangishwa Mtu Wa Shule
☑️Umiliki: Hati Ya Wizara
☑️Umbali: Mita 50 Kutoka Lami
☑️Inafaa Kwa Uwekezaji Wa Apartments, Warehouse, Godown, Lodge, Nyumba Ya Kuishi.

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Tafuta unachotaka Kijitonyama, Kinondoni, Dar Es Salaam