Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinuni Butchery, Zanzibar - Unguja North




Zanzibar, Zanzibar
17 hours ago
Sh. 19,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
250m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA BANDA INAUZWA KINUNI BUTCHERY
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Barabarani Mita 250
Vyumba 3 (Master 1), Sebule na Jiko
Boma la kozi tano ni sehemu ya kiwanja ya nyumba inayouzwa
Ukubwa wa kiwanja Ft 30×29
Bei Tsh 19M
Njia Pande 4
What's App/Call 0653007438
#wahadhizote
#familiabei
#mtegemechanduguhufamaskini















