Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi Songas, Dar Es Salaam (350 sqm)

video thumbnail
Sh. 90,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

350 SQM

Barabara ya Karibu

2min

Huduma na Sifa

Maji
Parking Space
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏑✨ NYUMBA INAUZWA – KINYEREZI SONGAS ✨🏑

Fursa nzuri ya kupata nyumba katika eneo zuri na lenye maendeleo kwa bei nafuu.

πŸ’° Bei: Milioni 90
πŸ“ Ukubwa: SQM 350

πŸ”Ή Sifa za nyumba:
πŸ›οΈ Vyumba 3 vya kulala
πŸ› Chumba 1 master
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa na yenye nafasi ya kutosha
πŸ’§ Maji yanapatikana
⚑ Umeme upo tayari
πŸš— Parking ya kutosha

πŸ“ Ipo dakika 2 tu kutoka barabara ya lami, hivyo inafikika kirahisi wakati wote.

πŸ“ž Wasiliana: +255 688 412 890
πŸ’Ό Service charge: 30,000/=

Karibu sana mteja wa maana, nyumba nzuri kwa makazi binafsi au uwekezaji.