Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam

Kivule, Ilala, Dar Es Salaam
5 months ago
Sh. 50,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
NYUMBA NZURI YAKUHAMIA, ROOM 3,TSHS.89 MILIINI, KIVULE-FREMU KUMI.
Hii nyumba Ina HATI (Title Deed) ya Wizara.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 673.
Nyumba ya kisaaa yenye nafasi na iliyojengwa imara.
Vyumba 3(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv
