Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kongowe, Pwani (1200 sqm)


Kongowe, Pwani
2 hours ago
Sh. 45,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
1200 SQM
Barabara ya Karibu
1km — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YAKUMALIZIA UJENZI,TZS.45 MILIONI, KONGOWE,KIBAHA.
Ipo umbali wa kilomita moja kutoka Barabara ya Morogoro.
Ni nyumba kubwa na Kiwanja ni kikubwa pia.
Vyumba 3 (Masta 1) ,Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Huduma za umeme na Maji zipo tayari.
IMEBAKI UMALIAZIAJI TU.
WAHI.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
________________mpg
