Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam (500 sqm)


Madale, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 330,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa MADALE
Bei: inauzwa Milioni 330
ina Vyumba 3, Choo, Sebule, Na Jiko
Eneo Lake Ni SQM 500
Ipo Ndani Ya Fence Gari inaingia Mpaka Ndani
Nyumba ipo Karibu Na Lami
Contact















