Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Maelezo

IMEPUNGUZWA BEI, SASA TSHS.150 MIL. TU, MADALE.

Nyumba nzuri ya kisasa,-YAKUHAMIA.
Vyumbac3 ( 2 Vyoo ndani),
Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.

Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400

WAHI, USIFANYE AJIZI.

___________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

+255 714 591 548
___________________jj

Matangazo yanayofanana Madale, Dar Es Salaam