Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale Mikoroshini, Dar Es Salaam (400 sqm)
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
#NYUMBA INAUZWA-HOUSE FOR SALE
LOCATION : MADALE MIKOROSHINI
PRICE : 190Million ( Negotiable )
LAND SIZE : 400sqm
DOCUMENTS AVAILABLE : HATI IPO
🔥MAELEKEZO YA NYUMBA
-Ni Nyumba ya vyumba vitatu huku chumba kimoja ni masterbedroom , sebule kubwa , dinning kubwa pamoja na choo cha wageni . Nyumba imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 400 na ni nyumba ambayo ipo tayari kwa ajili ya kuhamia.
NB ; Hii nyumba ni mpya na haijawahi kaliwa na mtu yoyote. Mteja atakayekuja kununua ndio atakuwa mtu wa kwanza kuitumia kwa ajiri ya makazi/biashara.
📍MAELEKEZO MENGINEYO
-Umbali kutoka lami ni 200mita
-Barabara nzuri kwa magari ya aina yoyote ile
-Electricity fence ipo
-Heater ipo
-Water reserve tank
-Pagola nzuri ya kupumzikia
-N.K
CONTACT
Normal :
Whatsapp :
⏩IMPORTANT
Service charge : 50k for site visit
OFFICE DETAILS
#sure_real_estate_tz
Location ; Survey Near Mlimani city















