Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam (371 sqm)
Maelezo
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho
Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini
Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na store kisha unapanda ngazi juu kuna vyumba vitatu vya kulala vyote master ila chumba kimoja ni kikubwa zaidi ya hivyo viwili.
Kisha juu kuna studio 4 yaani kila studio ni chumba che choo na sitting room ndogo ukitoka nje kuna kajiko kwa kila studio.
Eneo Square meters 371
Location Dar es salaam Makumbusho
Tuna full documents karibu
๐น๐ฟCall/WhatsApp
#realestatemarketingvideos #creatorsearchinsights #houseforsale #tiles #commecialrealestate















