Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamaz, Dar Es Salaam (450 sqm)

video thumbnail
Sh. 75,000,000

Maelezo

Njoo boss wangu nkuzie hii nyumba kalli sana Ina uzwa tsh mil 75 tu
Ipo mbagala chamaz jiji la dar es salaam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya Ina vyumba vya kulala vitatu vyumba viwili ni masters bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toilet ina maji na umeme upo wa luku Ukubwa wa eneo sqmt 450

Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Kwa maelekezo zaidi nipigie CM au nicheki WhatsApp šŸ‡¹šŸ‡æ 0759 203175 0652 618 143 šŸ‡¹šŸ‡æ

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamaz, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

For Sale4 beds3 bathshouse