Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA MPYA, VYUMBA 3,TSHS.90 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

NI NYUMBA YAKUHAMIA.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

______________rKmb