Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbande Kisewe, Dar Es Salaam









Mbande Kisewe, Dar Es Salaam
23 days ago
Sh. 55,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba mpya inauzwa ipo mbande kisewe dar es salaam bei milioni 55,000,000/= milioni
nyumba ya vyumba 3vya kulala sitingiroom dinging room toilet public kitchen nyumba umeme upo maji yapo nyumba bei yake ml 55
Wote mnakaribishwa




