Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (280 sqm)

video thumbnail
Sh. 27,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

280 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara

Maelezo

NYUMBA INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI

Vyumba 3 vya kulala sebule na public toilet

Inafaa sana kwa kuanzia maisha

Gari inafika kwenye nyumba

Bei: Mil. 27 Maongezi kidogo yapo

Eneo sqm 280

Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=

0684561351