Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mfenesini, Zanzibar - Unguja North (4900 sqm)








Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
4900 SQM
Barabara ya Karibu
400m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA /BANDA INAUZWA MFENESINI
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka nyumba ilipo mpaka barabarani Mita 400
Umbali kutoka nyumba ilipo mpaka Barabara ya Fujoni, Mangapwani na Bumbwini 1.9Km
Vyumba 3 (Master 1) Dining Room, Jiko, Public Toilet
Sitting Room
Ukubwa wa Kiwanja Ft 70x70
Bei Tsh 55 Milioni hamsini na tano
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















