Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe Fancy City, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 55,000,000

Maelezo

NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE FANCY CITY

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni, Mikwambe Fancy City.

Maelezo ya nyumba:

* Ina vyumba 3 vya kulala
* Vyumba 2 ni Master Bedroom
* Sebule kubwa
* Dining
* Jikoni

Nyumba ipo katika hatua ya finishing, lakini tayari kuna watu wanaishi ndani.

Ukubwa wa eneo: Meta za mraba 400.

Mahali ilipo:

* Takribani kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 12 kutoka Ferry ya Kigamboni
* Kilomita 10 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere

Bei: Shilingi milioni 55
Ongeza kidogo hapo (mazungumzo yapo).
📞0769554221

#trendingvideo #istagram #tanzania🇹🇿 #realestatemarket #realestate

Matangazo mengine Mikwambe, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds0 baths500 sqmhouse