Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Fanicity, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 66,000,000

Maelezo

šŸ” NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE (FANICITY) šŸ”

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba mpya kabisa katika eneo linalokua kwa kasi la Mikwambe – Fanicity, Kigamboni.

āœ… Vyumba 3
āœ… Master Bedroom 2
āœ… Sebule kubwa
āœ… Jiko la kisasa
āœ… Nyumba mpya kabisa
āœ… Umeme umeunganishwa
āœ… Decoration ya taa za kisasa imekamilika
āœ… Parking kubwa
āœ… Mazingira mazuri na mtaa tulivu

šŸ“ Mahali ilipo:
• Takribani mita chache kutoka barabara ya lami
• Kilomita 9 kutoka Ferry
• Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

šŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Sqm 400

šŸ’° Bei: TZS 66,000,000 (Mazungumzo yapo kidogo.)

šŸ  Nyumba imejengwa kwa ubora wa hali ya juu na ipo katika eneo zuri linalofaa kwa makazi au uwekezaji.

šŸ“ž0769554221

#trendingvideo #realestateagent #istagram #trendingnow #trendingaudio

Matangazo mengine Mikwambe, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds0 baths500 sqmhouse