Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mkolani, Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
Ni bonge la kasr! Mjengo unauzwa milioni 250 Mjengo upo mita 200 kutoka lami Mjengo unavyumba vitatu vyote self Pamoja na nyumba ndogo ya wageni stoo jiko nk upande wa nyuma.. Mjengo upo mkolani jijini Mwanza Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711












