Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pangani-Kibaha, Pwani (500 sqm)

Kibaha, Pwani
24 days ago
Sh. 48,000,000

Huduma na Sifa

Maelezo

NYUMBA MPYA, VYUMBA 3, TZS.48 MILIONI, PANGANI-KIBAHA.

Ni mita 50 tu kutoka Barabara ya Lami.

Kiwanja SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ni ya jufanyia umaliziaji mdogo.
Ipo ndani ya Fensi na Geti lake.

Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Chok cha Wageni cha nje.

Huduma za Umeme na Maji zipo.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.



_______________mpg

Matangazo mengine Kibaha, Pwani

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kongowe, Pwani (400 sqm)

Sh. 27,000,000

For Sale3 beds1 bath400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibaha Kongowe, Pwani (400 sqm)

Sh. 17,000,000

For Sale2 beds1 bath400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibaha Kongowe, Pwani (400 sqm)

Sh. 17,000,000

For Sale2 beds1 bath400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kongowe, Pwani (400 sqm)

Sh. 27,000,000

For Sale3 beds1 bath400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Imembe, Pwani (500 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Mfipa, Pwani (500 sqm)

Sh. 23,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Mfipa, Pwani (500 sqm)

Sh. 23,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha kwa Mfipa, Pwani (500 sqm)

Sh. 23,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (500 sqm)

Sh. 23,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Mfipa, Pwani (500 sqm)

Sh. 23,000,000

For Sale3 beds1 bath500 sqmhouse
General BROKER (*DALALI*)