Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Saranga/Temboni, Dar Es Salaam

Maelezo
NYUMBA 3 IKIWEMO GHOROFA, TZS.115 MILIONI,SARANGA/TEMBONI.
Hapa kuna nyumba TATU.
Moja ni Ghorofa ya Sakafu mbili.
Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1)
Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Ya Pili;
Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Ya Tatu;
Ina vyumba 2 ( Masta 1)
Pia ina Sebule na jiko lake.
Ipo ndani ya Fensi. Nzuri.
WAHI ITAKUFAA SANA HII.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mkv





