Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam (525 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 85,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Bafu

1

Ukubwa

525 SQM

Huduma na Sifa

store
Public Toilet
Dining
Jiko
Boycott of 2 bedrooms

Maelezo

Nyumba ya kumalizia inauzwa bei milion 85, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 525, hii nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko, dining room, store, public toilet, pia ina boycotter ya vyumba 2 vya kulala, Location tabata kinyerezi makofia dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam