Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (696 sqm)

video thumbnail
Sh. 140,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

696 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Tiles
Chumba cha Msaidizi
Stoo
Public Toilet
Dining

Maelezo

Nyumba nzuri sana inauzwa bei milion 140. Ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 696. Ina nyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo self contained. Sebule. Dining room. Jiko. Store na public toilet. Pia ina vyumba 2 vya kulala yani sevanti cota. Full document yani hati milk ya wizara ya aridhi. Location tabata segerea opposite na zahanati ya segerea dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000