Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Sherry Oilcom, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA – TABATA SEGEREA SHERRY OILCOM, DAR ES SALAAM
Hii ni fursa adimu ya kupata nyumba yenye mapato ya uhakika katika eneo lenye biashara nyingi na linalokua kwa kasi.
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala (1 Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko la kisasa
✅ Store
✅ Choo cha wageni (Public Toilet)
🏠 Vitu vya Nje:
✅ Boy’s Quarter
✅ Jiko la nje
✅ Choo cha wageni
✅ Parking ya kutosha
💼 Fursa ya Uwekezaji:
✅ Nyumba kuu tayari ina mpangaji anayelipa TSh 700,000 kwa mwezi.
✅ Kuna frame 8 za biashara, kila moja ikilipiwa TSh 250,000 kwa mwezi, na zote zina wapangaji tayari.
📍 Location: Tabata Segerea Sherry Oilcom, karibu kabisa na barabara ya lami na nyumba inatazama barabara kuu ya mtaa unaotarajiwa kuwa wa lami.
📄 Nyaraka: Hati ipo tayari.
💰 Bei: TSh 320,000,000 (Inajadiliwa kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.)
📞 Kwa maelezo zaidi na kupanga viewing:
+255 688 412 890
Dalali Wako Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!
Ikiwa frame 8 zote zinapangishwa kwa TSh 250,000 kila moja, pamoja na nyumba inayolipa TSh 700,000 kwa mwezi, mapato ya jumla ni TSh 2,700,000 kwa mwezi, jambo linaloifanya hii kuwa fursa nzuri sana ya uwekezaji.















