Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tegeta Masaiti, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 280,000,000

Maelezo

NYUMBA MPYA, VYUMBA 3, TZS.280 MILIONI,
TEGETA MASAITI.

Nyumba ya kisasa YAKUHAMIA.

Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Parking ni kubwa.

___________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

___________________ryt