Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Mombasa, Dar Es Salaam (460 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Maji
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Fremu3 Za Biashara
Nyumba Za Nyuma

Maelezo

🏡 NYUMBA INAUZWA – UKONGA MOMBASA, ILALA, DAR ES SALAAM 🏡

Je, unatafuta nyumba yenye nafasi kubwa, eneo la biashara, au fursa ya uwekezaji? Hii ndiyo nafasi yako!

📍 Ipo Ukonga Mombasa, Ilala, kwenye barabara kubwa ya lami iliyo mbele kabisa ya nyumba. Eneo hili linafaa kwa makazi, biashara au hata kuendeleza mradi mpya kutokana na ukubwa wake wa Square Meter 460.

✨ Kinachopatikana:
✅ Nyumba kuu yenye vyumba 3 vya kulala, sebule kubwa, korido pana na kibaraza kikubwa.
✅ Nyumba za nyuma zenye vyumba na sebule 5.
✅ Single Rooms 3.
✅ Fremu 3 za biashara mbele ya nyumba.
✅ Hati Miliki Kubwa ya Wizara.
✅ Maji na umeme wa uhakika.
✅ Hakuna mgogoro wowote.

💡 Faida ya ziada: Kama una mpango wa kuwekeza kwa kiwango kikubwa, unaweza kubomoa majengo yaliyopo na kujenga mradi wako wa kisasa kulingana na mahitaji yako. Eneo hili lina thamani kubwa kutokana na kugusa barabara kuu ya lami.

💰 BEI: TSH Milioni 350 Tu! (Mazungumzo yapo.)

📞 Wasiliana nasi: 0787 705 274

KombeRealEstate
Invest Smart, Live Better.

#KombeRealEstate #NyumbaInauzwa #UkongaMombasa #DarEsSalaam #RealEstateTanzania PropertyForSale HouseForSale InvestSmart InvestInTanzania Ilala CommercialProperty DreamHome

Matangazo yanayofanana Ukonga, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Gongolamboto Bwela, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 70,000,000

For Sale3 beds2 baths700 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Mombasa, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds900 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Mombasa, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds900 sqmhouse
  • Sebule

  • Jiko

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Mombasa, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Ukonga Mazizini, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

For Sale5 bedshouse
  • Dining

  • Jiko

  • Public Toilet

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Gongolamboto, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 47,000,000

For Sale3 beds400 sqmhouse
  • Hati

  • Kisima

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga Gongolamboto, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 47,000,000

For Sale3 beds400 sqmhouse
  • Hati

  • Kisima

  • Dining