Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kibada

<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko kali sana

✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba Ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba Ina mazingira safi
✅nyumba nzuri na ya kisasa

<> asking price tsh,, 400k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 20k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837

Tafuta unachotaka Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam