Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
4 days ago
Sh. 300,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
3km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Parking Space
Uzio
Public Toilet
Maelezo
Mpyaa mpyaa mpyaaa
Nyumba mpya inapangishwa vyumba v2 sebu jiko na choo cha public ndan
Kod 300000 x6 wahi
Umeme luku inajitegemea maji dawasco shea w4
Nyumba ipo ndan ya fanc parking kubwa
Kimara mwisho km3 bajaj1000 unashukia getin
Galama za kupelekwa kuona 20k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
dalali osama contact
0674198120.....0757908120
