Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

Apartiment house for rent nzuri kali sana

Location ubungo riverside kibangu km1

Kodi 350000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba

Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet

Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo

Parking space
Paving block
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency

Angalizo nyumba hii itakuwa wazi tarehe 13 mwezi huu kujakuona nyumba na kufanya malipo yanapokelewa

dalali ubungo mbezi kimara
0785299128