Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Buzuruga, Mwanza

video thumbnail
Buzuruga, Mwanza
7 hours ago
Sh. 120,000,000

Maelezo

MJENGO UNAUZWA MIL 120
MJENGO UPO BUZURUGA CHUO CHA TIA KILICHOPO BUZURUGA STENDI JIJINI MWANZA
Hapo mbele inavyumba viwili sebule jiko stoo nk (vyumba vyote viwili ni self )
Alafu ubavuni kuna chumba na sebule self jiko stoo nk kwa ajili ya mpangaji analipia milioni 2.5 kwa mwaka..
Pia upande wa nyuma kabisa upande wa hiyo nyumba kubwa kuna chumba sebule jiko stoo nk, kama mpangaji analipia milioni 2 kwa mwaka..
Alafu nyuma kabisa kuna nyumba inayojitejemea kabisa kwa ajili ya wapangaji ina chumba na sebule self jiko stoo nk mara mbili na kila mpangaji alalipia milioni 2 kwa mwaka..
So mpaka sasa hii nyumba ina wapangaji wanne pamoja na mmiliki mwenyewe mwenye nyumba ya vyumba viwili vyote self jiko stoo nk
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 ourdalali_real_estate_limited

Matangazo yanayofanana Buzuruga, Mwanza

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Buzuruga, Mwanza

Sh. 120,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Umeme

  • Stoo

Nyumba inauzwa Buzuruga, Mwanza

Sh. 120,000,000

For Salehouse
  • Karibu na Shule

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

  • Sebule

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Buzuruga, Mwanza

Sh. 120,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Karibu na Shule

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buzuruga, Mwanza (400 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale3 beds1 bath400 sqmhouse
  • Parking Space

  • Uzio