Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Buzuruga/Nyakato Sokoni, Mwanza

video thumbnail
Nyakato, Mwanza
2 hours ago
Sh. 85,000,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Stoo
Jiko
Sebule
Four Rental Units
Self Contained Units

Maelezo

MJENGO UNAUZWA MIL 85 TU!
NI NYUMBA YA PILI KUTOKA LAMI..
NYUMBA IPO BUZURUGA/NYAKATO SOKONI..
Hapo mbele inavyumba viwili sebule jiko stoo nk (vyumba vyote viwili ni self )
Alafu ubavuni kuna chumba na sebule self jiko stoo nk kwa ajili ya mpangaji analipia milioni 2.5 kwa mwaka..
Pia upande wa nyuma kabisa upande wa hiyo nyumba kubwa kuna chumba sebule jiko stoo nk, kama mpangaji analipia milioni 2 kwa mwaka..
Alafu nyuma kabisa kuna nyumba inayojitejemea kabisa kwa ajili ya wapangaji ina chumba na sebule self jiko stoo nk mara mbili na kila mpangaji alalipia milioni 2 kwa mwaka..
So mpaka sasa hii nyumba ina wapangaji wanne pamoja na mmiliki mwenyewe mwenye nyumba ya vyumba viwili vyote self jiko stoo nk
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 ourdalali_real_estate_limited

Matangazo yanayofanana Nyakato, Mwanza

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Buzuruga/Nyakato Sokoni, Mwanza

Sh. 85,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Soko

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Nyakato Father James, Mwanza

Sh. 55,000,000

For Sale5 beds900 sqm
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Nyakato Father James, Mwanza

Sh. 55,000,000

For Sale5 beds900 sqm
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara

Nyumba inauzwa Nyakato, Mwanza

Sh. 150,000,000

For Sale450 sqmhasTitleDeed
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami