Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chanika Mwisho, Dar Es Salaam (300 sqm)




Chanika, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 7,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Ukubwa
300 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
Banda zuri na jipya linauzwa Dsm chanika mwisho mita 500 kutoka lami kwa million 7 (limeshuka bei)
Vyumba v2 karo la kudumu nguzo ya umeme nje, chini ameweka floor laf,
👉Eneo sqm 300 Gari inafika mpaka site!
📞Call or Whatsapp















