Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chanika Zingiziwa, Dar Es Salaam
Zingiziwa, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 22,000,000
Huduma na Sifa
Maji
Borehole
Maelezo
🔥 NYUMBA INAUZWA CHANIKA ZINGIZIWA – MILIONI 22/= TU! 🔥
💰 Bei: Milioni 22/= | Maongezi yapo
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala
🛋️ Sebule
🍳 Jiko
🚽 Choo kimechimbwa
💧 Kisima cha maji kipo!
Usiendelee kulipa kodi kila mwezi wakati unaweza kuwa na nyumba yako mwenyewe! 😍
📍 Ipo Chanika Zingiziwa
🚨 WAHI MAPEMA KABLA HAIJACHUKULIWA!
👉 Njoo uione mwenyewe, ukipenda unachukua nyumba hii leo! 🔑🏠















