Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibaha Kwa-Mathias, Msangani/Jeshini, Pwani (400 sqm)
Kibaha, Pwani
1 day ago
Sh. 15,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA BEI RAFIKI,TZS.15 MILIONO,KIBAHA KWA-MATHIAS
Hapa ni MSANGANI/JESHINI.
Ina vyumba vya kulala 2 na Sebule.
Choo na Bafu nje.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________mpg















