Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 18,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Ardhi Tambarare

Maelezo

BANDA LA VYUMBA VINAUZWA – MBAGALA CHAMAZI

Banda la vyumba viwili vyote master bedroom linauzwa kwa bei ya Tsh milioni 18 (maongezi yapo).

📍 Location: Mbagala Chamazi, Mikumi – Mtaa wa Uvikiuta
✔️ Vyumba 2 vyote master
✔️ Pamoja na msingi wa vyumba 3 tayari
✔️ Eneo ni tambalale
✔️ Mtaa wa kishua, mazingira mazuri na salama

💡 Hii ni fursa nzuri kwa uwekezaji au kuendeleza ujenzi wako.

📞 Njoo site ukague mwenyewe – tajiri yupo tayari kuuza

Kwa maelekezo zaidi: 0683 665504