Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi Malamba Mawili, Dar Es Salaam (200 sqm)

video thumbnail
Sh. 25,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Ukubwa

200 SQM

Huduma na Sifa

Umeme
Tiles
Gypsum
Public Toilet
Inajitegemea
Sales Agreement

Maelezo

🏡✨ NYUMBA YA KUMALIZIA INAUZWA – MBEZI MALAMBA MAWILI ✨🏡
Sqm 200.

🔥 Fursa adimu sana kwa mwenye kutafuta nyumba ya kuishi au uwekezaji!
Ipo eneo zuri na linalofikika kirahisi, dakika 5 tu kutoka stendi 🚶‍♂️🚗

🏠 Sifa za nyumba:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala (kimoja master)
🛋️ Sebule ya kisasa
🍽️ Jiko
🚻 Public toilet
⚡ Umeme tayari upo
🕳️ Shimo la choo tayari lipo
✨ Tiles & gypsum tayari vimewekwa

📍 Location: Mbezi Malamba Mawili
🚗 Gari linafika mpaka kwenye nyumba (halilali)
⏱️ Dakika 5 tu kutoka stendi

📄 Nyaraka: Sales Agreement
💰 Bei: Milioni 25 tu
💼 Service Charge: 30,000/=

📞 Wasiliana sasa: +255688412890
🏷️ dalaliwakishua
✨ Dalali wako Wakishua ✨

🚀 Miliki kesho yako leo!
Usisubiri — chukua hatua sasa 🏡🔑

#NyumbaInauzwa #MbeziMalambaMawili #DarEsSalaam #RealEstateTZ #DalaliWakoWakishua