Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000,000

Maelezo

🏢 NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA – TABATA SEGEREA

Fursa adimu kwa mwekezaji anayehitaji kipato cha uhakika kila mwezi!

🏘️ Jumla ya nyumba: 22
🏠 Kila nyumba ina:

* Vyumba 2 (kimoja Master)
* Sebule
* Jiko
* Choo cha Public
* Maji na umeme wa kujitegemea

💵 Kodi ya sasa: TSh 400,000 kwa kila nyumba kwa mwezi.

📈 Mapato:

* Zaidi ya TSh Milioni 8 kwa mwezi
* Zaidi ya TSh Milioni 100 kwa mwaka

💡 Fursa ya kuongeza mapato:
Unaweza kufanya maboresho madogo kama:

* Kufunga AC
* Kuweka makabati ya jikoni
* Kuweka paving ndani ya compound
* Kuboresha finishing

Baada ya maboresho hayo, unaweza kuongeza kodi hadi TSh 600,000–700,000 kwa kila nyumba, hivyo kuongeza mapato yako kwa kiasi kikubwa.

📍 Eneo ni zuri, lina mahitaji makubwa ya wapangaji na thamani ya mali inaendelea kuongezeka kila mwaka.

💰 Bei: TSh Bilioni 1.2

💰 Service Charge: TSh 50,000/=

CALL NO 0687800334 / 0714765041

Hii ni fursa ya kweli kwa mwekezaji anayefikiria faida ya muda mrefu. Karibu tufanye biashara.

Matangazo mengine Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale3 beds3 baths1,200 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale3 beds3 baths1,200 sqmhouse