Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)







Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 ENEO LENYE NYUMBA KUMALIZIA LINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO 🔥
Unatafuta eneo la kuishi au kuwekeza? Hii ni fursa nzuri kwako!
✨ Sifa za Nyumba:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala
🛋️ Sebule
🍳 Jikoni
📐 Ukubwa wa Eneo: Sqm 400
🌍 Eneo ni tambarare kabisa na halijai maji hata kipindi cha mvua.
🚗 Gari linafika hadi eneo husika bila shida.
🛣️ Barabara nzuri na rafiki mwaka mzima.
🏘️ Mazingira mazuri na tulivu kwa makazi ya familia.
💰 Bei: Milioni 50 Tu!
📄 Nyaraka: Sales Agreement
📍 Location: Tabata Segerea Mwisho
💼 Service Charge / Gharama ya Huduma: 30,000/=
📞 Muhitaji Piga: +255 688 412 890
⚡ Wahi Sasa Offer Kabambe!
🏡 Miliki Kesho Yako Leo!!! 🤝















