Nyumba/Apartment inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

video thumbnail

Aina

Nyumba

Maelezo

Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama

Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

☑️Lami Nyumba
☑️Chumba Master Sebule jiko
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali_chiddy_tz

Call & WhatsApp: 0745111333
Call: 0788262263 / 0617252263

Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

Tafuta unachotaka Kijitonyama, Kinondoni, Dar Es Salaam