Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 160,000

Aina

Nyumba

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI

Chumba master bedroom kubwa na sebule kubwa

Kodi: 160,000 kwa mwezi × 6

Apartment zipo 4 tu kwenye eneo moja,umeme submeter na maji yanaflow chooni

Umbali KM 1.3 tu kutoka Temboni bajaji 500 bodaboda 1000

Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=

Contact
0742260844