Nyumba/Apartment inapangishwa Salama, Mara

video thumbnail
Salama, Bunda, Mara
4 months ago
Sh. 150,000

Aina

Nyumba

Maelezo

๐Ÿ˜๏ธ APARTMENTS 2 ZINAUZWA โ€“ KINYEREZI MWISHO (ENEO LA HEWA SAFI & SALAMA)
SQM 500
๐Ÿ’ฐ BEI: Tsh MILIONI 160 (Maongezi yapo kidogo)

Kila nyumba ina:
โœ… Vyumba vya kulala 2 (1 ni Master ensuite)
โœ… Sebule kubwa na yenye mwanga
โœ… Jiko la kisasa
โœ… Choo cha ndani + choo cha public
โœ… Maji ya kisima (haikukatiki)
โœ… Umeme Luku + Electric Fence (usalama 100%)

๐ŸŽฏ Zipo kwenye fremu 7 zilizokamilika
๐Ÿ’ธ Kila fremu inakodishwa Tsh 150,000
๐Ÿ“ˆ Jumla ya kodi inayokusanywa sasa: Tsh 1,000,000 kwa mwezi

๐Ÿ’ฐ **Mapato ya uhakika kwa mwezi โ€“ unalala usingizi mzito!
๐Ÿ“ Eneo tulivu, la maendeleo na barabara nzuri โ€“ Kinyerezi

๐Ÿšจ Fursa ya dhahabu kwa anayetafuta mapato ya passive mara moja!

๐Ÿ“ž Piga sasa: 0688 412 890
Bei ina maongezi kidogo โ€“ mwenye nia aje haraka kabla hazijaisha! ๐Ÿš€

#NyumbaZinauzwa #Kinyerezi #InvestmentOpportunity #MapatoYaUhakika