Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Hii apartment ipo kariakoo faya
Ipo floor ya KWANZA NO LIFTH
Inavyumba vitatu kimoja ni master bedroom kubwa sebule jiko choo cha pablick inapangishwa ml 1 kwa mwezi Kodi miezi 6 mawasiliano📞0623997896




















