Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
5 months ago
Sh. 800,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
Apartments zinapangishwa, zipo Goba njia nne
Vyumba viwili vyote master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 800,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana
