Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ilomba, Mbeya

Ilomba, Mbeya CBD, Mbeya
6 months ago
Sh. 180,000
Maelezo
Apartment inapangishwa
Vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom na sebule jiko
Kodi 180k kwa mwezi
Umeme inajitegemea
Location ilomba
0742941423



