Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 300,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

0679 997610
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA #300k

Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet

Kodi 300,000 kwa mwezi × 6 na 50,000/= ya Tahadhari

Umbali dakika 10 tu kwa mguu

Apartment ni 2 kwenye fence kila apartment inajitegemea umeme na maji,

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kwenda Kuona Nyumba

Mawasiliano
Wsp
0679 997610
0747997630
Msigwa

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam