Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 420,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA

#LOCATION: KIMARA SUKA

#UMBALI: Umbali wa Dakika 8 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara no Nzuri.

SIFA ZAKE
• Sebule kubwa Sana
• Vyumba Viwili vya Kulala vikubwa Sana
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani

Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU.

#Maji DAWASA yanaflow ndani

#Kodi: Tsh. 420,000 Malipo Miezi 6
simu 0659336751 wsp 0786085637