Tafuta
-
-

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/01/2026 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
PARKING
GARDEN
INAYOPANGISHWA NI YA KWANZA SIO GOROFANI NDUGU MTEJA

BEI NI 500,000/= X 6

ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Kwa maelezo zaidi piga :-

+255712528820 / +255685221354

Kalibuni

Mr.

Matangazo yanayofanana Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 400,000/month

(400,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000 _____________ 💥 APARTMENT KALI SANA ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000/month

APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAA🪴 _____________>> 📍MAHALI - KIMARA STOP OVER Umbali kutoka ba...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000/month

APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAA🪴 _____________>> 📍MAHALI - KIMARA SUKA Umbali kutoka barabar...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 220,000/month

🇹🇿 APARTMENT YA KISASA NZURI SANA INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA 📍 Kimara Bucha 🕒 umbali wa km 1 kutok...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000/month

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI KUINGIA TAR 10.5.2026 KUONA NA ...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI KUINGIA TAR 10.5.2026 KUONA NA ...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 300,000/month

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI ---- Vyumba 2 vya kulala kimoja master bed...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 300,000/month

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI ---- Vyumba 2 vya kulala kimoja master bed...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

*APARTMENT NZURI SANA MPYAA *NDANI YA FENCE* *ZINAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI* *KODI YAKE 250K X 6...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000/month

APARTMENT KALI SANA YA KISASA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA HII SIO YA KUKOSA...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000/month

(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 𝗖𝗵𝘂𝗺𝗯𝗮 𝗺𝗮𝘀𝘁𝗲𝗿 𝗦𝗲𝗯𝘂𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗝𝗶𝗸𝗼 𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗹𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗯𝗮𝘁𝗶 𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗔/𝗖 𝗖𝗖...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe Kilungure, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 350,000/month

#NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA #KUINGIA TAR 1/5/2026 KUONA KUSUBILIA RUK...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000/month

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD SIFA YA NYUMBA NI Vyum...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000/month

💥 APARTMENT KALI SANA YA KISASA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA HII SIO YA KUKO...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 420,000/month

: 𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 : KIMARA SUKA : Umbali wa Dakika 8 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Roa...

Tafuta unachotaka Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam