Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Mgindoni Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Maelezo

🏢 APARTMENT ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIGAMBONI, MGINDONI KISOTA

Unatafuta fursa ya uwekezaji yenye kipato cha uhakika? Hizi apartment ni chaguo sahihi kwa ajili ya kuanza au kupanua biashara yako ya upangishaji.

Sifa za Apartment:

✅ Apartment 2 zilizokamilika.
✅ Kila apartment ina vyumba 2 vya kulala, sebule na jiko.
✅ Zimejengwa kwenye eneo la SQM 500.
✅ Eneo limepimwa na lina Hati ya Wizara.
✅ Meta 600 tu kutoka barabara kuu.
✅ Kilomita 10 kutoka Feri ya Kigamboni.
✅ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere.

Faida za Uwekezaji:

✔️ Zipo katika eneo linalokua kwa kasi.
✔️ Zinatoa fursa nzuri ya kipato kupitia upangishaji.
✔️ Mazingira ni tulivu na yanavutia kwa wapangaji.

💰 Bei: TZS Milioni 160 tu.
🤝 Maongezi kidogo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.

📞

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingpage

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings
Dalali Kigamboni mbavu