Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 19,000,000

Maelezo

HAPPY NEW MONTH!HAPPY NEW PROJECT!
Mradi wa BUNJU A, unakata Kwa Kasi Wahi Kabla ya Sold Out!

LOCATION: BUNJU ‘A’
(Kilometer 2 tu, kutoka lami na vinagusa barabara kubwa inayotoka bunju kwenda madale)

Bei: -
1. Tsh mil 19 - SQM 403 na SQM 452 (vipo viwili tu na unaweza kuviunganisha)
2. Tsh mil 25 - SQM 539, 536 na 528
3. Tsh mil 33 - SQM 703, 672,644 na 662
4. Tsh mil 35 - SQM 735, 698, 670, 616 na 614

Vyote vimepimwa vina plots number hivyo utapata HATI MILIKI kwa majina yako!

NB: Siku zote hati miliki tunafuatilia sisi.

Panafaa sana kwa wenye ramani za kisasa zaidi.

Tupigie simu
0789100100 au 0675200300

📍Ofisi zetu zipo tegeta azania Chief House ghorofa ya kwanza.

SITE VISIT:
MON - SUN | SAA 2:00 ASB - SAA 11:00 JIONI

#bunjuA #viwanjavilivyopimwa #vinanaRE #viwanjabeinafuu #realestatetz