Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 65,000,000

Maelezo

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:

Mtaa mzuri sana wa kishua

Ukubwa-sqm 1000

Umiliki-mauziano serikali za mtaa

Bei-ml 65 maongezi

Location- madale mivumoni

Umbali-km 1.6 kutoka lami mpya

Karibuni

Dalali Tegeta 0784234971
0718809744