Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 200,000,000

Maelezo

PLOT NZURI INAUZWA BINAFSI

Mtaa ni mzuri, unaingia kama unaenda makongo kulia

Ukubwa-sqm 2200, lakini kuna eneo kubwa ambalo jumla inafika ekari moja halijapimwa limeachwa kama hifadhi ya korongo/mto unaweza kulitumia eneo hili kwa matumizi mengine

Umiliki- hati safi

Bei-ml 200 maongezi

Location- goba centre, unaingilia makongo road

Panafaa sana kwa nyumba za biashara (Apartments)
Shule
Makazi nk

Umbali- km 1.4 kutoka goba centre

Viewing charge 50k

Karibuni

Tuwasiliane Whatsapp/call 0784 919 453,, call 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.

#business #home #regrann #plot #insta