Kiwanja kinauzwa Pongwe, Tanga

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 30,000,000

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA PONGWE YA UROA
#unguja #zanzibar

Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 200 (Kipo karibu na Beach)

Umbali mpaka Barabarani Mita 50 (Kipo karibu na Barabara)

Ukubwa wa kiwanja Mita 30x36

Njia Pande 2

Bei Tsh 30 Milioni Thelathini

NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 200

What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake